News

Timu hizo ni miiongoni mwa nne zilizopanda Ligi Kuu msimu huu, sambamba na vinara wa ligi hiyo kwa sasa, Mwembe Makumbi na ...
LIGI Kuu ya Zanzibar, imerejea tena jioni ya leo Ijumaa, ikishuhudiwa timu za Zimamoto na Uhamiaji zikishindwa kutambiana kwa ...
Timu ya Soka ya Chuo Cha Uhasibu Arusha (IAA SC) imetwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Mikoa RCL 2025 baada ya kuifunga Misitu ...
MABOSI wa Yanga inaelezwa jana waliitana na kujifungia ili kujadili hukumu ya kesi waliyoifungua Mahakama wa Kimataifa ya Usuluhishi ya Michezo (CAS), iliyotupiliwa mbali, huku zikitajwa ...
KOCHA Mkuu wa Kagera Sugar, Juma Kaseja anajua wana mechi ngumu za kumaliza msimu salama, lakini amesema amefanya kikao na ...
SIMBA imepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mashujaa katika mechi iliyojaa matukio ya utata ikiwamo refa Kefa Kayombo kutoka ...
BAADA ya kufuzu nusu fainali ya Kombe la Shirikisho (ZFF Cup), Mlandege inarejea tena uwanjani leo katika mwendelezo wa mechi ...
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Hamad Yussuf Masauni amesema michezo ni fursa inayowawezesha ...
KOCHA wa timu ya JKU, Haji Ali Nuhu amekubali matokeo ya kulikosa taji la Muungano walililolipigia hesabu mapema, lakini ...
KIKOSI cha Yanga kimesharejea jijini Dar es Salaam kikitokea Pemba, Zanzibar kilipoenda kushiriki michuano ya Kombe la ...
Luca Ranieri aliifungia bao Fiorentina na kuwapa matumaini kwenye mechi ya marudiano itakayofanyika Italia. Antony amekuwa na ...
ERIK ten Hag amepiga hatua kubwa kwenye mazungumzo ya kurithi mikoba ya Xabi Alonso katika kikosi cha Bayer Leverkusen, ...