News

Lissu alifikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka yanayomkabili Aprili 10, 2025. Kwa sasa, kesi hizo zinaendelea kwa njia ya ...
Akizungumza na wadau hao, Waziri Mkumbo amewataka wakazi wa Arusha na mikoa ya jirani kutambua kuwa mashindano ya Afcon mkoani humo ni fursa ya kupata fedha na kuinua vipato vyao.
Jaji Warioba amesema endapo hilo halitafanyika nchi itaingia katika uchaguzi ikiwa katika mgawanyiko kuanzia viongoni na ...
Kauli ya Serikali imetolewa wakati ambao kumekuwa na matukio ya maiti kuzuiwa kwenye vituo vya afya licha ya viongozi kadhaa ...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Doto Biteko amesema hadi sasa vijiji vyote nchini Tanzania vimepata umeme na Serikali ...
Aprili 23, 2025, Wizara ya Kilimo, ilitangaza kuzuia mazao kutoka nchi za Afrika Kusini na Malawi kuingia katika mipaka ya ...
Taarifa iliyotolewa na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeeleza kuwa Kipagwile ameibuka mshindi kutokana na mchango mkubwa ...
Wakati mkataba huo wa sasa utakapomalizika, Guardiola mwenye umri wa miaka 54 atakuwa amekaa Man City kwa miaka 11 ambayo ni ...
Tarime. Wizara ya Madini kwa kushirikiana na Mgodi wa Dhahabu wa Barrick North Mara uliopo Nyamongo, mkoani Mara, imetoa ...
Wamesema magonjwa hayo yanapunguza uzalishaji kwa kiasi kikubwa na kuwaathiri kiuchumi, kwani kahawa ni zao tegemeo kwa wengi ...
Akizungumza katika shughuli hiyo Mkurugenzi wa elimu ya juu, Profesa Peter Msofe amesema Profesa Qorro ameacha utajiri mkubwa ...
Kaaya amesema malengo ya utoaji wa tuzo hizo yanalenga kutambua na kuhamasisha waandishi wa habari wa Kitanzania wanaoandika, ...