News

Askofu wa Jimbo Katoliki la Shinyanga, Liberatus Sangu amewataka waumini wa dini ya Kikristo kusherehekea Pasaka kwa matendo ...
Askofu wa Jimbo Katoliki teule la Bagamoyo, Stephano Musomba amesema kila muamini anapaswa kuwa mmishionari katika kutangaza mema na ukuu wa Mungu.
Aliyekuwa Mbunge wa Moshi Vijijini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Anthony Komu, amerejea kwenye chama ...
Mwenyekiti Mwenza wa Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini Mkoa wa Mwanza, Sheikh Hassan Kabeke, amesema matumizi ya lugha za ...
Tanzania imeingia kwenye majonzi mazito kufuatia kifo cha gwiji katika sekta ya burudani, sanaa na michezo, Hashim Lundenga.
Ikiwa zimesalia saa chache kabla ya Wakristo wa Tanzania kuungana na mataifa mengine kusherehekea Sikukuu ya Pasaka, ...
Mzazi akiwa mzembe au mwenye upungufu wa uangalizi, huenda akajikuta mtoto wake akitumbukia kwenye janga la malezi mabaya.
Wataalamu wa afya wameonya jamii kuachana na matumizi holela ya tiba mbadala kudhibiti magonjwa ya macho kwa madai ya kuwa kwenye hatari kubwa ya kupata upofu wa kudumu na uoni hafifu.
Bwana Yesu asifiwe! Leo tukiwa tunaadhimisha Sikukuu ya Pasaka inayomaanisha kufufuka kwa Bwana Yesu kutoka kaburini, ...
Kwa kujua kuwa ndoa ya wawili hawa ni ya kudumu, samaki alipata faraja na kuondoka na mvuvi. Akiwa mpweke asione samaki hata ...
Mwanamke anayejua thamani yake, anayejitunza, anayezungumza kwa ujasiri, na anayejiheshimu huwa na mvuto wa kipekee ...
Bwana Yesu asifiwe! Leo tukiwa tunaadhimisha Sikukuu ya Pasaka inayomaanisha kufufuka kwa Bwana Yesu kutoka kaburini, ...