Tangazo la Kinshasa lililotolewa jana jioni, limekuja siku chache kupita tangu kuwepo wasiwasi ikiwa rais Felix Tshisekedi atashiriki mazungumzo hayo au-là, kutokana na ukimya uliokuwepo baada ya ...
Siku chache baada ya chama tawala nchini Uganda, NRM kutangaza kuyakataa matokeo ya uchaguzi mdogo wa ubunge kwenye eneo la Kawempe, rais Yoweri Museveni, sasa ametangaza kuanza kwa uchunguzi ...
Marekani inaishawishi Urusi ikubali kumaliza mzozo na Ukraine. Rais Putin wa Urusi amesema mzozo huo utakoma kwa masharti, masharti ambayo yanakosolewa na Ukraine. Na Dinah Gahamanyi & Asha Juma ...
Putin alikuwa akizungumza na waandishi wa habari wakati wa ziara ya mgeni wake kiongozi wa Belarus, Alexander Lukashenko, kuhusu pendekezo lililotolewa na Marekani la kusitisha mapigano kwa siku ...